whatsapp image 2023 04 25 at 11.22.30 am (1)

Sisi ni wa nani?

Huduma za Kiteknolojia za Kiprofeshonali:

IMAR WORLD LTD inatoa huduma kamili za kitekinolojia zinazohusu mambo ya stima (electrique), kielekitroniki na komputa (informatique). Kampuni inajihisi sana kwenye kazi za kufunga (installation), matengenezo (maintenance), kurekebisha na msaada wa kiufundi, yote yakifanywa kwa ubora, nidhamu na kuheshimu muda uliokubaliwa.

Shabaa Yetu

Shabaa yetu ni kuwa kiongozi wa kuaminika katika hizi kazi zetu kwa kutumia tekinolojia za kisasa, kuboresha kila mara utoaji wa huduma zetu na kuhakikisha tunaridhisha/tunafurahisha wateja wetu wakati wote.

Kutokana na Mazingira

Pia, tunasaidia taratibu za kulinda mazingira kwa kupendelea vifaa na washirika (fournisseurs) wanaofuata sheriya za uendelevu.

whatsapp image 2023 04 25 at 11.22.30 am

Ahadi Yetu ya Kazi

Tunatoa huduma bora bila kupitisha muda uliokubaliwa, bajeti au uwezo wa mitambo. Lengo letu ni kuweka wateja wetu katika usalama, ulinzi na kuhakikisha kazi zao haziingiliwi na matatizo.

 

Suluhisho Zetu Maalum (Portefeuille ya Huduma)

IMAR WORLD inatowa suluhisho zinazosaidia ulinzi, usalama, na uendeshaji wa majengo:

Kingora cha Moto (Alarme Incendie):

Kuchora ramani, kuleta vifaa, kufunga na kufanya matengenezo ya mifumo ya usalama wa moto.

Kupambana na Moto:

Vifaa vya kuzima moto (extincteurs) na msaada wa kiufundi.

Kamera za Ulinzi (CCTV):

Kufunga kamera, kutengeneza chumba cha ufuatiliaji (salle de contrôle) na matengenezo.

Usimamizi wa Muda (Pointage):

Mifumo ya kusimamia mahudhurio ya wafanyakazi na kutoa ripoti.

Uchunguzik/Utafiti  wa Vyuma (Détection des Métaux):

Mashine za mkononi, milango ya usalama na skana za mizigo.

Kufuatilia Magari (Car Tracking):

Kujua mahali gari liko na kulichunga kwa karibu.

Udhibiti wa Njia (Contrôle d’Accès):

Mifumo ya milango, kuhamisha mitambo, kurekebisha na msaada wa kiufundi.

Televisheni na Ving’amuzi:

 Kufunga TV kuj installer na kupana huduma za Canal+ na DSTV.

Utalii na Safari:

Kuratibu na kusaidia safari kwa watu binafsi na mashirika ya kitaifa na kimataifa.

Vizuizi na Milango otomatiki:

Milango ya stima inayojifungua yenyewe kwa ajili ya magari na sehemu za usalama.

Climatisation (AC):

 Kuleta, kufunga na kutengeneza mifumo ya kupoza hewa.

whatsapp image 2023 04 19 at 6.23.27 pm

Sababu gani unapashwa kuchaguwa  IMAR WORLD?

  • Uzoefu wa zaidi ya miaka 13 (13+): Ujuzi wa vitendo na mafundi bingwa.
  • Msaada wa 24/7: Tunapatikana muda wowote mchana au usiku.
  • 100% Kwa Ajili ya Mteja: Tunatathmini kila kiwanja au jengo ili kutoa suluhisho linalofaa mahitaji yako.
  • Mifumo 4 ya Msingi: Utaalamu katika Nyanja (domaines) nyingi tofauti.

Hatua za Kazi (Processus d’Installation)

  1. Tathmini ya Kwanza: Tunachunguza eneo ili kuelewa mahitaji ya usalama.
  2. Uchoraji wa Kiufundi: Equipe /Timu yetu inaandaa mpango wa kiufundi na bei.
  3. Makubaliano: Pande zote mbili zinakubaliana juu ya gharama na namna ya malipo.
  4. Ufungaji wa Kiprofeshonali: Mafundi walioidhinishwa wanafunga mitambo kwa kutumia vifaa bora.
  5. Majaribio na Kabidhi: Tunajaribu mitambo yote kabla ya kumkabidhi mteja na kumfundisha namna ya kuitumia.

Ahadi ya Matengenezo na Msaada

HUDUMA YA BAADA YA MAUZO

IMAR WORLD inajifunga kurefusha maisha, uaminifu na uwezo wa mifumo ya wateja kupitia msaada wa mapema (proactif).

  • Ukaguzi wa Mapema: Kufanya ukaguzi wa mara kwa mara ili kuhakikisha kwamba vipengele vyote vinafanya kazi vizuri na kupunguza hatari ya kuharibika.
  • Matengenezo kwa Wakati Unaofaa: Ikitokea tatizo au kifaa kimechoka/kimeharibika, timu yetu inaingilia kati kwa matengenezo na kutoa mapendekezo ya kubadilisha vifaa vya kisasa zaidi.
  • Msaada wa Dharura 24/7: Kuwa na usaidizi unaopatikana kwa mahitaji ya haraka ya matengenezo yanayoweza kusimamisha kazi zenu.
  • Majaribio ya Mfumo: Majaribio yaliyopangwa yanahakikisha kwamba kila sehemu ya mfumo inafanya kazi ipasavyo wakati inahitajika.
  • Ufuatiliaji wa Sheria: Tunachunga vigezo vya usalama ili mifumo yenu iendelee kufuata kanuni zinazohitajika.

Faida kwa mteja: Mifumo inakuwa ya kuaminika, muda wa kukatika kwa kazi unashuka, maandalizi bora ya usalama na imani zaidi katika utendaji wa vifaa vyenu vya usalama wa kielektroniki.

Ahadi Yetu na Mawasiliano

AHADI YETU:

 Asante kwa kuchagua IMAR WORLD. Tumejipanga kulinda majengo yenu na kuhakikisha mitambo yenu inafanya kazi kwa kiwango cha juu wakati wote.

Wako mwaminifu, 

 

Ahadi kwa Mteja na Mawasiliano Yetu

AHADI YETU

Tuko tayari kusaidia na kusimamia ufungaji wa mitambo yenu.

Asante kwa kuweka imani yenu kwa IMAR WORLD.

Sisi wa IMAR WORLD, tunajifunga kurefusha maisha na kuongeza uwezo wa mifumo yenu. Tunafurahia fursa ya kulinda kabisa majengo yenu ili kuhakikisha usalama wa hali ya juu na utendaji mzuri wa vifaa vyenu vya kielektroniki vya kuaminika, pamoja na huduma ya kiufundi ya kiprofeshonali.

Wako mwaminifu,

SAHAHA Amedee

Directeur Général (CEO)

 

Tafuta IMAR WORLD LTD

  • SIMU: +250 737 149 888
  • EMAIL: info@imarworld.com
  • Tovuti/ SITE WEB: www.imarworld.com

IMAR WORLD LTD | Kulinda watu kupitia vyombo vya kielektroniki

Tafuta IMAR WORLD LTD SIMU / EMAIL / SITE WEB / MAHALI (LOCATION)

+250 737 149 888 | info@imarworld.com | www.imarworld.com | Kigali Town, TCB House, F4A & F5B